@TMnyama4_ Yawezakana ana matatizo kwa k yake PID au mengineyo, kama unampenda jali afya yake mshauri kwenda hospitali na ni vizuri kwenda pamoja Ili kuepuka kuambukizana zaidi ...anakupenda , unampenda ..mjali ๐ฅฐ
THE STORY OF THE DAY.
Kuna ile story ukiianza unajikuta unahamu uendelee ujue inaishaje ndio hii
Theme: MAPENZI, BREAKUP, LAST BORN BF, REUNION, PENZI SHATASHATA, MSAMAHA, USALITI,
Pita Jifunze kitu
1/2