Samia ameelekeza Msajili wa vyama vya siasa atafute sababu za kukifungia CHADEMA. Hakupenda uchambuzi wa chama kuhusu ripoti mwitu ya Jaji Kiande. Kwani haikutosha Kitenge na Kikeke kusifia ule upuuzi, anataka kila mtu amsifie? Huyu muuwaji ni mjinga kiwango gani? CDM ni IMANI✌️
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri.Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na inamchango mkubwa katika vurugu za Oktoba 29.
Kimsingi Tume ya Uchaguzi na Ofisi hii ya Msajili wa vyama kwa matendo au kutowajibika kwao zimesababisha asilimia zaidi ya 60 kupelekea Mauwaji ya Oktoba 29/2025.
Baadhi ya Maofisa wake kwa makusudi,kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu Haki, Amani ,umoja,utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa Kidemokrasia
Ofisi hii Inafanya na Kutenda kwa kuzingita Uonevu,ubaguzi,hila na Inaongoza kwa matumizi mabaya ya Mamlaka.
Tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi,Jeshi,Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila tusisahu kuwa kinu kinachofua na kuandaa hila, fitina na machafuko ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza Ofisi ya kuvutuga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa.
Tusipo ziba Ufa tutajenga Ukuta,Mwanzo wa ngoma ni lele , na Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu.Hala hala kidole na Jicho.
BAK Mwabukusi.
Mzee Warioba alipoongea juzi kuwa October 29 tume ndio ilipiga kura hakukosea na ushahidi huu hapa.
Nilishaposti hizi video instagram baada ya mauaji ya October 29.
Embu cheki, kipindi nchi nzima iko kwenye darkness Tume ya uchaguzi na CCM ndio walikuwa wanafanya kazi hii.
Uchaguzi wa Octover 29 2025 ni null and void. Hatuutambui.
Msajili wa vyama, Sisty Nyahoza.
Mpango wowote muovu mnaoletewa na jaribio la kutaka kuzia chadema kufanya kazi zake au kukifuta chama chetu utabackfire vibaya.
Hatutakubali Chama chetu kiwe kibaraka wa ccm..
Tunajua Kesi ya Said Issa na vibaraka wengine ni ya kwako..
mahakama imetuondolea zuio umekuja tena.
Kauli ya Mwenyekiti wa vijana ccm kupoteza watu, na kweli watu wanapotea Popole, Mdude na wengine wamepotezwa.
Kauli za kina Makala za Mpox na Ebora.. kauli za mauaji na kuchinja watu za viongozi wa ccm .. Zipo nyingi
Je umewahi kuwaandikia ccm barua kuhusu hayo?
Acheni tushindane kwa hoja na ccm…
Ndio maana miongoni mwa mabadiliko, ambayo lazima yafanyike ni kufuta hii ofisi ya msajili inayotumiwa na ccm kudidimiza demokrasia.
Tundu Lissu alitaka Wajumbe wa Tume wasiteuliwe na Rais. Alidai kuwepo na Michakato Huru ya kuwapata Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi, ili tuwe na Tume Huru, ya Haki na yeye kuaminika. Je alifanya kosa gani hapo?. Mwachieni aendelee na shughuri zake!!.
#FreeTunduLisuu
"Mabadiliko lazima yaje. Tuyafanye katika utaratibu wa kawaida. Tusipofanya hivyo, wale wasioridhika wanaweza kutumia njia nyingine. Na njia nyingine hizo huwa zinaleta matatizo." Jaji Joe Sinde Warioba.
"Maiti zilipoteaje Mochwari? Kama watu waliofika mbele ya Tume na kudai ndugu zao wameuawa ni 1,315 lakini maiti zilizopatikana ni 518 tu, kwanini Tume haikufuatilia madai ya maiti kutoroshwa Mochwari? Zilitoroshwa na nani?Kwa amri ya nani? Na zilipelekwa wapi?" Anahoji Rais wa TLS, Wakili Msomi @Mwabuk2Boniface
Mitaa inaelewa, huyu Bro hata simjui alikuwa ameingia kwenye Daladala niliyopanda imebidi niombe nimpige picha binafsi nime feel respect sana kuona chata kubwa.🫡
Kuna Chama kimoja tu Tanzania chenye any moral ground ya kuwasemea Watanzania kwa sasa. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye any legitimacy ya kuwasemea Watanzania. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye uhalali wa kuwasemea Watanzania, chama hiko ni CHADEMA!!!!!!!!!!!
Vyama vingine vyote vilipoteza uhalali wa kuwasemea Watanzania either kwa kuwasaliti Watanzania kwa kushiriki uchaguzi wa 2025 au kufanya mauaji ya Oktoba 29.
Chadema ndio Chama pekee kilichoweza kuendana na matakwa ya Watanzania kwenye uchaguzi wa 2025, ndio chama pekee kilichosikiliza wananchi wanataka nini na wakaonyesha na kuongoza njia kwa kuja na NO REFORMS NO ELECTIONS na kusimama nayo mwanzo mwisho!!!!!!
It’s almost like Chadema ndio chama pekee cha siasa kinachoelewa Watanzania wanataka nini na wako tayari kujitoa kuhanga maisha yao ili wawapatie Watanzania wanachokidai.
Chadema ndio chama pekee kilicho earn kuaminiwa na Watanzania………
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
Kila mara huwa kuna school shootings hapa Marekani, kila mzazi anaomba asije pata message ya kusema kuna school shooting au hiyo messsage ya kwamba watoto wako kwenye lock down au shelter in place.
Muda huu nimepokea message kwamba watoto wamewekwa sheltering in place kutoka shuleni kwa Kenzo, napiga simu shule, simu zimejam niko kwenye hold zaidi ya dakika 10, namtumia mtoto sms ananijibu “idek”. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭.
Mungu atupe nguvu wazazi maana wanajua kutujaribu hadi mwisho.
Bedriya kutoka Ethiopia alitafuta mtoto kwa miaka 12 ndani ya ndoa, hatimaye amejifungua mapacha Watano. Bedriya mwenye miaka 35 anasema alimuomba Mungu ampe mtoto, alipopata ujauzito aliambiwa amebeba 4 ila siku ya kujifungua amepata 5, wakiume 4 na wakike 1. Wanaendelea vizuri.
Ni miaka 10 sasa tangu Mbwana Samatta alipoanza kucheza soka la kulipwa kwenye bara la Ulaya, mwaka 2016 alijiunga na KRC Genk ya Ubelgiji akitokea TP Mazembe ambako alifanya mabalaa na kuzivutia timu kadhaa za Ulaya.
Katika kipindi cha miaka 10 ya kucheza Ulaya, Samatta amecheza Ligi Kuu tano [5] tofauti [Belgian Pro League, English Premier League, Super Lig, Super League Greace na Ligue 1].
Licha ya kukutana na mazingira mapya, mifumo tofauti ya uchezaji na ushindani mkali lakini Samatta hajawahi kurudi nyuma!
Mtoto pekee alie weza kumshitaki baba yake kwa kutaka kuuza shamba na kujitolea kulea familia kwa kuomba omba huko kabanga kasulu akachukulia na kiongozi kumbe alipata one ya 7 form 4 ���🙌👇
Huyu muuwaji naona ameanza mazoezi ya kupajua jela. Hauwezi kuuwa maelfu ya watu alafu ukaishi uraiani. Angalia sura ilivyomshuka sababu ya majuto. Huyu stahiki yake ni jela.