@godbless_lema Kwa hali ilivyo sasa Lema hukupaswa kuja na ngonjera hizi, ni heri ungechutama kuliko kuja tena na andiko hili lenye sehemu za kubeza juhudi za wengine. Umejikwaa Kubali Mapambano Dhidi ya Adui Mkuu.
@rollymsouth Hakuna raia wana zungumzia hata chembe mpaka kwenye vijiwe vya kahawa ambako tulizoea kuona watu wakiwa na mijadala mingi kipindi cha kampeni kama hizi