KUHUSU MATARA.
Jana kuna watu mlikuwa mnauliza kuhusu ukimya wa @Eng_Matarra baada ya kuwa hapatikani kwenye simu.
Leo nimemtuma mtu nyumbani kwa Mama yake mzazi, katujulisha kwamba Matara alipata ajali kwenye hiyo ajali alipoteza simu zake lakin kwasasa anaendelea vizuri.
Akipata simu, atarudi online.
@ze_mandevu Gauni la harusi halivaliwi Kila siku ndio maana watu hukodisha, unapoamua kulinunua ukishamaliza shughuli Yako mambo ni mawili la kwanza lenye unafuu ulikodishe Kwa pesa, la pili uwe unaazimisha Bure
Siongelei Magauni na Harusi.
29/10/2025 ✊️✊️✊️🫵
Si wote wanaompigia makofi wako naye kwa dhati. Wapo wanaomdanganya kwa maneno matamu. Hali ya wananchi si ya kubezwa, na akisikiliza kilio hiki, atabaki na historia ya kuponya taifa.