@FrankFedric@killo_killo11 Hapo fact ni kwamba mfanyabiashara analipa kodi inayotokana na jasho lake mwenyewe au inayotoka mfukoni mwake, ila mfanyakazi analipa kodi ambayo Γ±i kodi ya mfanyabishara πππππ
@FrankFedric@killo_killo11 Kwa wafanyakazi wa sekta za umma wote huwa wanalipwa na kodi za wananchi, na ndiomana ukiangalia kwenye bajeti kodi ni trilioni 34 mishahara ya watumishi ni trilioni 13 ni pesa inayotoka kwenye kodi hiyo hiyo hivyo ni kama kuchukua kulia kuweka kushoto, ila mfanyabiashara sasaπ
@MkulimaKante Pia kwa kuongezea, Bia ni bidhaa ambazo zina substitute goods mfano serengeti ikipanda bei mtu atakunywa pombe zingine za bei rahisi, hivyo itasababisha muuzaji kupata hasara kwa kupungukiwa na wateja. Ndiomaana ukitaka kupΓ ndisha bei ya bia unakua ni mkakati kwa pombe zote ....
@MkulimaKante Kwa uelewa wangu naweza sema kua bia sio necessity goods, ni habit/luxury hivyo importation yake inaweza ikawa ya kusubiri. Kwa mf. Durng high import costs muuzaji anaweza kuacha kuingiza na akawa anauza zile zilizopo kwenye stock, kwasababu sio bidhaa ya lazima kam chakula, dawa