@TTCLCorporation Huduma za mkoa wa mwanza ni mbaya sana hasa inapotokea tatizo la kiufundi (faiba mlangoni) unatoa taarifa inafika siku tatu hakuna utatuzi wa tatizo ,unapiga simu tushughulikia tunashughulikia harafu hakuna kinachoendelea🙄🙄🙄
@maji_mowi@aweso_jumaa jiji la mwanza mitaa ya kuanzia nyegezi,Mkolani na marnego mengine mpk Buhongwa kuna maji ya shida takribani miezi miwili sasa lakini bill zimetoka kubwa mpk zinashtua?hawa wasoma mita wamesoma mita zipi ?
@TTCLCorporation Kuna kitu hakipo sawa hasa upande wa Costomer care ,mtu anajaza form online kuunganishiwa huduma fiber ,baada ya hapo hapati taarifa ombi lake limefikia wapi,unaenda ofisini una am kwa kesho tunakuja kukuunganishia huduma,unapewa na no ya fundi mkuu.
@CRDBBankPlc kuna pesa imekatwa kwenye account yangu bila kujua imeenda wapi na kibaya zaidi nimechukua statement haionekani hiyo pesa imetokaje na imeenda wapi ?@BankOfTanzania
“None of us, including me, ever do great things. But we can all do small things, with great love, and together we can do something wonderful”– Mother Teresa .
"Kila mtu Mungu anampa rasilimali watu ili kuyafanikisha maisha yake aliyopewa kuishi. Kuna watu hawa wawili, 1. Mtu wa Muhimu, na 2. Mtu wa Karibu.... sasa mimi nakushauri, Hakikisha Mtu wako wa KARIBU na Mtu wako wa MUHIMU kamwe hawafahamiani”-Pastor Tony (TK)
Watu kwenye maslahi yao wanaweza tumia kila mbinu ili kufanikisha Adhima yao ili kupata maslahi yao ,haijalishi wengine wataumia au kuathirika kwa namna gani.