Sahihi,
The Psychology of Money sio kitabu tu cha kukupa matumaini hii ni tiba kwa ajili ya ugonjwa huu uliotoakana na kuishi umasikini kwa muda mrefu au kukua katika mazingira duni muda mrefu.
Hii ni tiba
#NenoHuru
Sikia, kulalamika hakubadilishi hali, bali huchukua muda na nguvu ambazo zingeweza kutumika kutafuta njia ya kutoka kwenye tatizo.
Anza kwa hatua ndogo, hata kama zinaonekana hazina umuhimu mkubwa. Hatua hizo ndizo hujenga mafanikio makubwa baadaye.
☎️0712703839.
“Pain and suffering are always inevitable for a large intelligence and a deep heart.”
“To go wrong in one's own way is better than to go right in someone else's.”
CRIME AND PUNISHMENT TZS 45,000
Nimesikia mtaalamu mmoja anasema 75% ya WaAFrika wana hali inaitwa "Money Trauma"
Kwani hii "Money Trauma" ni ugonjwa gani?
Mtaalamu mmoja hapa atuelezee
Kitabu cha "The 48 Laws of Power" kilichoandikwa na Robert Greene kinachunguza sheria 48 zinazolenga kupata na kudumisha mamlaka na nguvu katika ulimwengu wa kisasa, kielimu, kijamii na kimaisha. Kila sheria inafafanuliwa kwa kutumia mifano ya kihistoria, hadithi za watu mashuhuri, na mawazo ya kisasa.
Je ni sheria ipi iliyokuvutia zaidi ndani ya kitabu hichi ..!??