Nataka muelewe, UKWELI ni Dorothy alikuwa very supportive kwenye huu mkutano. Anataka kuleta MABADILIKO na alimwambia Nandela aunde Kamati kushughulikia haya maswali na tukutane baada ya miezi 3.
So far so good.
Nimetembelea Ofisi za Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dar Es Salaam, na kukagua Mfumo wa Unganishi wa Taarifa za Ardhi (ILMIS), katika moja ya ziara zangu za kujifunza mambo mbalimbali ya Wizara. Pia nimetoa wito wananchi kuchukua Hati zao zilizokamilika kwa wakati.
https://t.co/s2Olff9zKw Opportunity at DHL, Graduate Management Trainee (2) – Accounting & Finance, Transport & Logistics https://t.co/cCPGY2G9Dd