Mimi kama maskini vile naona hiyo nyumba ya kaligraph ni kubwa sana,Pale ukipata Diarrhoea utateseka ndugu yangu. kabla upande choo upstairs utapata west pokot kulishaa pasuka na ukawachilia dengu buana. Inabidi umeteremka duster mbio kabla khaligraph amalize show carnivore arudi
Its very unwise to banter with women. Wamama hawajuangi banter,They will say the most sensitive thing you've ever heard and burst out laughing like they said something funny. Unaezajipata kortini unajibu kesi ya GBV ulilima mama kofi juu alikuita kipii masaa ya banter buana