@Mikumifinest Trust me dogo ni mwongo mwongo mno #tutamfatilia
Juzi kat tu kaja na story za kumbeba bint wa chuo mara akamwachia kot na pesa alizotimiwa na baba yake mara kesho yake akazirudsha masimango kibao Shenzy type
@Mastown_ Imeandikwa.... Mwanamume atampenda mkewe nakumjali
Naye Mwanamke Atamtii
Sasa mwke akupendaje kwani aanzie wap kukinzana na Maandiko ya Mungu wa Israeli!!?
Ofisi ya #PM@TZWaziriMkuu
Tunamba mwaka huu mtulipe mwezi huu masalia ya madeni ya Uhamisho tangu 2022 kwakweli.
Mwaka2026 ni mgumu kimaisha
Mtulipe tuweze kulipa Ada kwa wanetu wanafunzi hali si hali.
@mwigulunchemba1