Trh 31/8/019 Tulifanikiwa kufanya Ziara yetu ya kwanza ya ihsan ambayo tulipata fursa ya kutembea Kituo cha foundation Karibu Tanzania kinachojishughulisha na kulea watoto waliofanyiwa ukatili
Tuungane kwa pamoja kukomesha ukatili dhidi ya mtoto
@voice_charity We live to save
"Siku zote furaha Ipo usoni kwao lakini Kwenye mioyo yao Wanaitaji msaada wako"
Tuishi tukiwasaidia panapowezekana, Ungana na @voice_charity
Katika kuwasaidia
#At_least_live_to_save