KESI: Am Caro, naumia sana kwa mahusiano. Mpenzi wangu nilimpata akiwa 43yrs ambapo anashida ya kimawazo now two yrs kama wife na hii familia wanataka mtoto wa kwanza ndipo wajitambulishe kwetu. Already nina watoto 2, na mume wangu hajielewi! #MwashumbeNaShugaboy@koderoh