Maisha yetu sio mazuri kama picha zinavyoonekana,Kama ambavyo tunavyojitahidi kuediti picha na kutumia filters,tujitahidi pia kuyaediti maisha yawe mazuri kwa kupambana zaidi #TMβοΈ
Good morning,
Session 1st March 2022
-4 Bs of a GOOD MORNING.
+ Benediction π
+ Bed ποΈ
+ Body ποΈββοΈ
+ Bath πΏ COLD.
Rise and shine, so you will forget the misery of mediocrity.
Be a man.
MMGA#TM
Kwa makato haya ya miamala,Sasa sheria itungwe ya kunyongwa kwa kiongozi yeyote atakayebainika amekula pesa za serikali.Haya makato yanaumiza.#TM#Tanzania#kaziiendelee
@kigogo2014 Hili likatuni kumbe saiv ni halina kitu,hii picha wameedit,wanadanganya wajinga tuu,ukitaka kujua kuwa tyre ya RR ya @diamondplatnumz Ni mpya angalia clip ya video wakati gari inatolewa kweny container,acheni chuki za kipumbavu, don't hate get inspired
@elonmusk Message to all cryptocurrency traders,The market is not your mother,it consists of strong men and women who look for ways to take money away from you ππππ
We are seriously thinking about the future life,then we forget to live the present,such that at the end we live neither for the future and for the present TM699
@kigogo2014 Raisi Magufuli alikuwa ni kipenzi chetu, kiongozi Bora na mzalendo,ametupigania Sana kwa kipindi kifupi,ameleta maendeleo makubwa ,akapumzike kwa amaniπ,lakini wasioitakia mema nchi yetu wanampinga na kumsema vibaya likiwemo hili li @kigogo2014 ,Natamani ukamatwe una roho mbaya