Wakulima wana mchango mkubwa kwenye pato la Taifa, Wametengeneza ajira na kuongeza upatikanaji wa chakula, WACJ tunapenda kuchukua fursa hii kuwatakia HERI YA SIKUKUU YA NANE NANE wakulima wote nchini.
#hakijinai
Cc. @HusseinBashe@UNFPATanzania@ikulumawasliano@WomenFund_TZ
Mpangaji anaweza kupangisha kama amepata idhini ya Mmiliki, Endapo Mmiliki akitoa notisi ya kuhama basi ita muathiri Mpangishwaji aliyepangishwa na Mpangaji, Uhusiano wa Mpangishwaji na Mpangaji utakuwa kama uhusiano wa Mmiliki na Mpangaji kulingana na mkataba waliokubaliana.
Kama ilivyo kwa mikataba mingine, Pande yoyote itakayovunja makubaliano katika mkataba wa pango itapaswa kulipia fidia upande ambao utakuwa umeathirika na uvunjaji mkataba huo, Sheria ya mikataba sura 345, Marejeo 2019.
#hakijinai#hakizampangaji
Cc. @UNFPATanzania@WiLDAFTz
Mmiliki anaweza kupangisha mali yake kupitia Wakala alie muadhinisha, mfn. Kwenye kuingia makubaliano ya upangaji na malipo, Mpangaji anaweza kumlipa na kuingia makubaliano kwa jina la Wakala alieadhinishwa na Mmiliki.
#hakijinai#hakizampangaji
Cc. @UNATanzania@WiLDAFTz@TAMWA_
Inapotokea uharibifu wa vitu vidogo vidogo mfn. Kitasa cha mlango, Wavu wa madirisha, Mpangishwaji anahaki ya kufanya marekebisho bila kumuarifu mwenye nyumba ila marekebisho makubwa mfn. Nyufa za ukuta mpaka apate ridhaa kutoka kwa mwenye nyumba.
#hakijinai#hakizampangishwaji