Leo kwenye banda letu la maonesho,
๐ด๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ @wadadasolutionsorg ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐,
ambao unalenga kuamasisha usomaji na uhandishi wa vitabu
Women and girls deserve equitable access to digital spaces and resources for their education, health, entertainment, information, networking, relationship and community-building, etc., and it is up to us all to remove barriers that hinder this access.
#PreventVAWG#EndVAWG
Kataa ukatili, kuwa shujaa! ๐ Kila mtoto ana haki ya kukua katika mazingira salama na yenye upendo. Tuungane pamoja kukomesha ndoa za utotoni na kuhakikisha watoti wetu wanapata fursa ya elimu na maisha bora. #Kataa ukatili #LindaWatoto#elimukwanza
@maendeleoyajamii
Weโre thrilled to honor our valued partner organizations at graduation.
Your support has been crucial to our success.
Congratulations, and we look forward to achieving even more together!
@wadadasolutions@mycntanzania@WotesawaO
Jamii Salama inajengwa na Familia Salama. Tunayo Furaha kukutana na Wazazi pamoja na Vijana wa Kata ya Nyamhongolo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza na kufanya mdahalo juu ya maswala ya Afya ya Uzazi pamoja na Malezi @tikah_ke
Be the change, share your power! ๐ช๐ผ
#GirlsTakeover is more than just a dayโitโs a movement where girls step into leadership, bringing their dreams to life.
Together, letโs build a world where every girl feels seen, heard, and unstoppable. โโ๐ฝ๐ซ
#GirlsLeadership#IDG2024
Zimebaki siku mbili tu, huduma za afya ya uzazi na afya kwa ujumla zitatolewa bure pale Karimjee siku ya tarehe 26 kuanzia sa mbili asubuhi mpaka sa kumi jioni.
#AfyaYakoHatmaYako
Active youth participation in decision-making processes related to sexual and reproductive health (SRH) is crucial for developing and implementing effective policies and programs. @Y4HProject#Y4HProject#Y4H
Tunapoadhimisha siku ya njia za uzazi wa mpango duniani ย yenye kauli mbio isemayo: โUchaguzi kwa wote. Uhuru wa kupanga, nguvu ya kuchagua.โ
Ni muhimu kila mmoja kufahamu kuwaย huduma za uzazi wa mpango ni haki ya kila mtu. Kila mtu anapaswa kuwa huru ย kulinda afya yake ya uzazi pamoja naย kuwa huru kupanga idadi ya Watoto anaowahitaji.
Uzazi wa mpango ย ni muhimu ย kwani unasaidia kuepuka mimba zisizotarajiwa na kupunguza vifo vya akina mama na Watoto .
#Uchaguzikwawote
#Uhuruwakupanga
#Nguvuyakuchagua
#WCD
Mafunzo ya siku mbili kwa ijana, wazazi viongozi wa serikali ngazi ya Kata ambayo yametolewa na shirika la wadada ikiwa ni kuiamasisha na kuikumbusha jamii kuhusu upatikanaji wa huduma na taarifa sahihi za afya ya uzazi kwa wasichana na wanawake
@TICAH_KE@wgnrr_africa
Violence affects women at every stage of their lives.
More than 1 in 3 women experience gender-based violence during their lifetime.
What steps can you take to end gender-based violence in your community?
#PreventGBV#EndVAW
#FeministOpportunity@Prevent_Collab is looking for a remote, part-time Social Media Content Producer โ ideally located in #Africa or #SouthAsia!
If you're a creative individual committed to preventing VAW using feminist values.
Apply here https://t.co/qw5PzAbrBd