@ruhighrightnow_ @28YearsYoung Some people when they lose weight it differs,some start to see in stomac,thighs,sides,most in face.I would do more cardio. like at least 2-3 miles
Chuo cha bahari dar es salaam tukiwa visiwa vya mbudya kufanya utalii wa ndani katika kuendeleza na kuyaishi maono ya Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
Tanzania is real unforgettable 🇹🇿
Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kuwainua wakulima kupitia uimarishaji na utoaji wa elimu juu ya matumizi sahihi ya mbolea ili waweze kuzalisha kwa faida na tija kubwa.