@OfficialJouma Tushawachoka waumin tunakil hadithi na sunnah tunazisoma pamoja tutafata mwezi tunaoouna unafaa jamani eeeh tuwambie viongozi wetu tunataka vyuo vya kislaam hospital za kislaam mabank ya kislaam
@OfficialJouma Vip kwa.mwanamke ambaye damu yake imekuwa haitabiriki hutoka kila baada ya sik 3 au 4 katika kila mwezi hutika mara 9 adi 12 imekuwa kama ada yake funga yake inampasa vip
@SikilizaTogolan@tonytogolani Na badala yake tumuabudu yeye lakin swali 1 shetan ana vitimbi dhaif kuliko mwanamke ilo pia limetajwa sasa shetan humuini je huyu kiumbe tunae jifunika shuka moja ...? Ambaye ana.mshunda shetan kwa udhaif
@SikilizaTogolan@tonytogolani Kaka hatuta zishinda pirika zake shetan adi kupitia mungu ata mungu amesema
Alam aAAhad ilaykum ya banee adama an la taAAbudoo alshshaytana innahu lakum AAaduwwun mubeenun Waani oAAbudoonee hatha siratun mustaqeemun akimanisha tusimuabudu shetani ni adui wa wazi