Kama wewe ni Mtanzania na umempigia kura huyu mzambia @theSavatir badala ya kumpigia kura dalali @YerickoNyerereT hakika wewe ni mzalendo wa kweli hebu chapa retweet ili ndugu yetu mzambia @theSavatir aone Love kubwa la wapiga wake wabongooo 🇹🇿
VIDEO:
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema kuwa haki ndiyo msingi wa amani, akisisitiza kwamba amani haiwezi kupatikana pasipo kuwa na haki.
Akizungumza leo, Novemba 10, wakati wa Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, Dar es Salaam, Askofu Ruwa’ichi aligusia hali ya taifa kufuatia matukio ya wiki ya uchaguzi
"Haki ni msingi wa amani, narudia tena, haki ni msingi wa lazima wa amani,” amesema Askofu Ruwa’ichi.
Aidha, Askofu Ruwa'ichi amesema matukio ya watu kuuawa kiholela yamesababisha Tanzania kupoteza heshima.
"Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya Uchaguzi Mkuu. Siyo tu limepoteza heshima, bali limepoteza watu, raia ambao wameuawa kiholela,” amesema.
Amehitimisha kwa kutoa wito kwa Watanzania kutafakari hekima na uadilifu, akisisitiza kuwa hekima huonekana kwa mtu mwadilifu
Sisi mtaani kwetu uwa tunaungana kwenye misiba, haijalishi sababu, ndio maana tunazika majambazi, wezi, wazinzi, mashoga, walevi, sababu za kifo hatujali sana, tunajali kuna familia imepoteza, na kuna Uhai umepotea.
Ndio standard ya juu ya ubinadamu.
Maana binadamu sio mkamili.
Ogopa sana adui anae jua mbinu zako zote, yaani kila unacho mfanyia anakuangalia tu sababu haoni kama kuna jipya. Na wewe ulivyokuwa na Kibuli unahisi unamkomoa kumbe ndio una muhimarisha kiakili, kiuvumilivu, kiukakamavu na kimipango.
N.B : ELEWA CODE ZA MALAWI.😊
Ila yule mshauri wa gavoo aliyetoa ushauri wa polisi na jeshi kuwa na match route mtaani kwamba watu wataogopa ni msenge sana 😂😂😂
Msenge zaidi ni yule alisema "hakutakuwa na nywinywi wala nywi nywi nywi 😂