DOKTA VIWANJA TANZANIA LTD โ Your Future, Our Pride!
โ๐ฅ MRADI MPYA: VIWANJA BORA KIBABA - MAILIMOJA (PANGANI) ๐ฅ
โUnatafuta kiwanja cha uhakika chenye hati miliki na huduma zote kwa ajili ya kujenga na kuhamia mara moja? Fursa ndio hii!
โSifa za Mradi na Eneo:
โMahali: Kibaha
Hali ya Eneo: Neighborhood safi, utulivu wa kutosha, tayari kwa kujenga na kuhamia.
Huduma: Maji, umeme na miundombinu ya barabara zipo site.
Uhalali: Hati Miliki ipo na ni ya uhakika!
Gharama na Malipo:
Mailimoja (Pangani)
Umbali:
Mita 300 tu kutoka Barabara ya Lami
Mita 300 kutoka Kiwanda cha Sunshine (Mabati)
Kilomita 4 kutoka Stendi Kuu ya Mkoa
Bei: TZS 33,000/= kwa mita moja ya mraba (1 sqm)
Mfumo wa Malipo: Cash Only