Mwenye Code Ngumu Ngumu Kuhusu Biashara Ya Kanisa Anijuze Maana Naona Sikuhizi Ni Dili Kuna Kanisa 3 Zimefunguliwa Mwezi Huu Hapa Mtaani Wanakusanya Sadaka Kama Hawana Akili Vile.
@tazamaMbali Mfano. Nina Biashara inayotoa huduma na ina mzunguko mkubwa na mazingira yenye viwango vya juu ya Biashara.
Lakini kiasi ninacholipwa ni kidogo kuliko thamani ninayotoa licha ya kuwa mzunguko ni mkubwa
Je?? Niongeze bei Kwa HUDUMA ninayotoa au nibaki mule mule tu @tazamaMbali
Mtu anafanya biashara ile ile zaidi ya miaka 5 lkn haikui. Hizi ni sababu;
1. Kutokuwa na malengo/mpango wa biashara
2. Mtaji & faida kuishia kwenye matumizi binafsi
3. Kufanya biashara kwa mazoea
4. Kukosa elimu ya biashara
Biashara inahitaji mpango, nidhamu na mbinu sahihi
90% watu wanafikiri kufanikiwa ni bahati, na unakuta mtu anasema
“ipo siku yangu tu namimi nitafanikiwa”
-no plans
-no vision
-no Maarifa
Kufanikiwa sio raisi kama unavyofikiria
Kufanikiwa ni muunganiko wa maono, nidhamu, bidii, uvumilivu, maarifa, na imani isiyoyumba