โข Winners of Hollywood ๐๐๐๐ฃ๐ ๐๐๐ฎ๐ฟ๐ฑ๐ 2023/24 โข Winners of TMA Awards Best Traditional Music Band 2023/24. โA boys band that defies all the odds.โ
Tunafikiri ni muda sahii sasa kuliachia ili dude rasmi ili wananchi waruke nalo ๐๐บ
@Wamwiduka Band ft Awilo Masox ๐ฅ๐ฅ
Tunarudi nyumbani sasaโฆ
Graffiti by @ellis_tz
Story Ambazo Huwezi kuzikosa Hapa
-Diamond Freemason
-GSM anaharibu ligi ya bongo
-Mo Hana Hela
-๐๐๐ฃ๐๐ฉ๐ช โ๐๐๐ข๐ฌ๐๐๐ช๐ ๐โ ๐๐๐ฌ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ค ๐ข๐๐ ๐ข๐ง๐๐๐ช ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ฏ๐๐ฃ๐๐ช๐๐ ๐ ๐๐ฃ๐ค๐ข๐ ๐ฎ๐๐ฃ๐ ๐ข๐ญ๐ญ๐ฎ๐ญ ๐โ ๏ธ
..๐๐๐๐๐
Woyooo!
Mziki mzuri wa nyumbani umerudi tena kutoka kwa wanao sana wakuitwa @Wamwiduka Band na safari hii tukiwa na migoma mipya na collabo zote zikipatikana kwenye EP yetu yenye jina la #MdundoWaWamwiduka nasemajeee! ni mwendo wa #KulaWayaa tu!๐ฅ๐ฅ
#Wamwiduka#MzikiWaBabatoni
Exclusive Live Interview na @Wamwiduka Band ndani ya @cloudstv katika kipindi #Sentro
๐ ๐๐ฑ๐ฎ : Kuanzia saa 1:30 Usiku
๐ ๐ฎ๐ต๐ฎ๐น๐ถ: Clouds Tv
๐ฆ๐ต๐๐ด๐ต๐๐น๐ถ: Mziki mwanzo Mwisho ๐ต๐ถ
๐๐ถ๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐น๐ถ๐ผ: Lipia kin'gamuzi chako
#KulaWayaa na @Wamwiduka Band
ยฉ 31 May 2023
#Repost @marafikimusicfestival (@get_repost)
ใปใปใป
It is today....welcome to Marafiki Music Festival 8,9 Oct at The Slow Leopard Bar & Restaurant entrance 15k and 10 Oct at Firefly Bagamoyo
#MarafikiFestival#Wekamusic https://t.co/MQ9H526tM2
Ukisikia #KulaWAYAA ndiyo tarehe 8,9,10 oct kwenye @marafikimusicfestival Exclusive performances kutoka kwetu @Wamwiduka BAND
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Yani fanya kununua ticket yako mapema kwa punguzo la elfu 10,000/= TZS badala ya 15,000/= pale mlango kwenye kuingia kwenye tamasha.
#WekaMusic
#Repost midem.official (@get_repost)
ใปใปใป
Discover the best of Tanzania music on #midem Digital, in partnership w/ @nyegenyegefest featuring @wamwiduka, Jay Mitta, Anti-Vairus, MC Kidene & @Sititheband1. Join us 3-4โฆ https://t.co/1pJe52Lg8W
Kutazama Wimbo mzima unaoitwa #NaamiaCCM kutoka kwetu @WAMWIDUKA BAND tumemshirikisha Mwananjenje huyu #Amazon maalum kwa ajili ya RAIS wetu Kipenzi MH. JOHN POMBE MAGUFULI na CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM ) nendaโฆ https://t.co/AKgUMJaVwR
Bado ujachelewa Tutakuwa live Usiku wa Jumamosi hii kupitia kipindi bora cha "THE GIANTS" ndani ya @cloudsplus255 kuanzia saa 3 Usiku mpaka saa 5 Usiku.
Tafadhali Mwambie na mwenzio Bango lishasoma @Wamwiduka BANDโฆ https://t.co/E2r4mLjzwr
Ahsante Dada yetu katarina_karatu kwa sapoti unayoionesha kwenye mziki wetu hakika hili ni kubwa kwetu, tunakupenda sanaa, na ufahamu sisi pia ni shabiki zako wa dhati.
Embu tum-tag Dada yetu katarina_karatuโฆ https://t.co/L7016wlufK
Ahsante kwa wale mashabiki walioweza kufika tiffanydiamondhotels katika kusherekea pamoja usiku wa #ValentineDay hakika mlipendeza sana na tuli-enjoy vya kutosha tunawapenda sana.
#WamwidukaBand &
#Thefamily
[Kwaโฆ https://t.co/HIX4J86biY
Dah! Ni ngumu kuamini ndugu yetu mejakunta_ kama umetutoka maana ni miezi michache iliyopita tulishea jukwaa mmoja na tulizungumza mambo mengi nyuma ya jukwaa hakika alipangalo Mola binadamu hawezi lipangua na woteโฆ https://t.co/fWPlRw456F