Heche alitoa msimamo huo mkali na wa kimantiki leo, Juni 23, 2026, wakati akihutubia maelfu ya wananchi wa Jiji la Mbeya katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye eneo la Stendi ya Zamani (Viwanja vya Kabwe).
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, amemshukia kiutendaji Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akisema utaratibu wa kuweka zawadi nono mitaani ili kuwashawishi raia kuwa njia hio haukubaliki na haina weledi.
wa kuwa na mwanasheria kutokana na kutokuwa na ajira.
Mchunu, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuchochea harakati za chuki dhidi ya wageni (xenophobia) kwa madai kuwa wanachukua fursa za kiuchumi za wazawa, alitoa kauli hiyo mbele ya jaji kujibu mashtaka yanayomkabili.
Mwanaharakati maarufu nchini Afrika Kusini anayefahamika kwa msimamo mkali na kuongoza maandamano dhidi ya wahamiaji kutoka nchi nyingine za Afrika, Ngizwe Mchunu, ameingia kwenye mtego wa maneno yake mwenyewe baada ya kukiri mbele ya mahakama kuwa hana uwezoโฆ.
โNimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena,โ ameeleza Msigwa
Pia amethibitisha kufuata taratibu zote za CHADEMA
Mwanasiasa na mbunge wa zamani, Mchungaji Peter Msigwa, ametikisa anga la siasa nchini baada ya kutangaza uamuzi mzito wa kujiondoa rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kurejea chama chake cha zamani, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traorรฉ, ameendelea kujipambanua kama mmoja wa viongozi wenye msimamo mkali zaidi barani Afrika dhidi ya ukoloni mambo leo na unyonyaji wa rasilimali, kufuatia kauli yake nzito iliyosambaa na kugusa hisia za wengi ulimwenguni.
"Afrika sio ombaomba. Afrika sio panya wenu wa maabara, kibaraka wenu, wala ghala lenu la MALIGHAFI," alisema Kapteni Traorรฉ
"Afrika hainyanyuki ili kupiga magoti, bali kusimama kwa miguu yake. Afrika haitapiga magoti," alihitimisha hivi.
โWenzetu masaa 24 siku saba za wiki wanapiga wimbo wa kukisifu chama chao na hii ni haki yao. Wanamsifu Rais wao, wanasifu Serikali yao na inahitaji uvumilivu mkubwa sana kusikiliza sifa hizo kwasababu zipo kadhaa za kweli lakini nyingi siyo sifa za kweli, lakini tunavumilia.โ
Mbunge wa Tunduru kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mhe. Ado Shaibu, amekiri waziwazi ugumu na mtihani wanaokumbana nao kutokana na namba ndogo bungeni.
https://t.co/g0LUgUgSGZ
Akielezea hali halisi ya vikao vya Bunge, Mhe. Ado amesema inabidi wawe na uvumilivu wa hali ya juu kusikiliza sifa zinazotolewa mfululizo na wabunge wenzao (CCM) kwa Serikali.
โNi kweli kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin alitamani kutupa rasilimali zote tulizohitaji kupambana na ugaidi hata wanajeshi lakini nimekuwa nikisema kwamba sisi ni raia wa Burkina Faso, Hakuna mtu atakayekuja kupigana kwa niaba yetu,โ alisisitiza Traorรฉ.
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traorรฉ, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu uhusiano wa kiusalama kati ya nchi yake na Urusi, akiweka msisitizo mkubwa kwenye kulinda uhuru wa uamuzi na utendaji wa majeshi ya ndani.
Traorรฉ amekiri kuwepo kwa ofa nonoโฆ.
Tani 1 ya Petroli ni takriban Lita 1,300 mpaka 1,380, kulingana na ubora na Pipa 1 ni Lita 159 sana kwa vipimo ya mahesabu itakuwa Tani 1 ni sawa na Pipa 7 mpaka 7.5.
https://t.co/JYuMapPx3c
#ufafanuzi#sema
Bei ya mafuta duniani imeongezeka zaidi ya mara mbili ndani ya mwezi mmoja tu kutoka Februari hadi Machi 2026, Hii siyo ongezeko la kawaida; ni dharura ya kiuchumi.
Kwa nini taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali @MsigwaGerson imetumia vipimo ya Tani na tofauti na Lita: