@George_Ambangil Hakuna kaka uko na mm. Haiwezekani tunacheza vibaya kias iko. Tatizo limesha onekana sio ata makocha ni aina ya wachezaji na wanao wanunua hao wachezaji ni tatizo
@SindaJoseph1@bbcswahili BBC wamepost nakala zakutosh kuelezea tuhuma zake you tube. Media inajaribu kukuamsha ila sasa kwa jinsi akili imeshikwa huwez kufwatilia kwa makini unabwabwaja tu dogo fwatilia vitu wacha kutumia mb zako kuangalia watoto wamelala threads
@king_kalala1 @jokersmoker001 @yan_m3i @_Weetu_ @yvng_joh @muli_brian_@CNairobian1_ @wangugis @wangari196 @254evee_@Accey30 Huw n kama marasha tunapaka kwa kichwa ya π baad ya kumaliza