Registered Nurse, study Biostatistics and Epidemiology, Project Management, Public Health development and Evaluation, Emergent Crisis for responder,and M and E
#BREAKING: Kutoka Dar es salaam kuna hii taarifa usiku huu ya fremu za maduka na nyumba maeneo ya Magomeni Mapipa maarufu ‘Kwa Macheni’ kuwaka moto, bado chanzo cha moto huo hakijulikana na jitihada za kuuzima zinaendelea.
#MillardAyoUPDATES
@rweba1 @JPambalu Acha walioko field ndo waongeee kwamba kuna kitu gani kinaendeleea ili watu waendelee kuchukua precaution measures, ni jukumu la watoa huduma wa afya kutoa alert kama kuna eruption ya communicable disease kwenye jamii ili watu wawe care, mziki ambao huujui kuuimba kaa kimya
To all the businessmen mnaodai eti mnatetea biashara zenu ndo maana mnajipendekeza openly kwa UOVU huu -mmetajirika na jasho la mwananchi wa kawaida wa #Tanzania including hao ambao tunaona wanapigwa, wanauwawa na kuteswa! You owe it to them to stand up!
If you can't basi kausha!
Hongera! Umepokea MB800 BURE kutumika Siku7 na umeingia DROO YA JAZA TUKUJAZE TENA kushinda simu ya 4G. Jazwa DK, SMS au MB za BURE kila ukinunua kifurushi.
Tigo wenyewe wanaendelea kutoa bonus bure
Mh @CatherineRuge mgombea Ubunge Jimbo la Serengeti amelazwa Hospital Leo Jioni kutokana Na Kupigwa,udhalilishwaji uliofanywa na Jeshi la Polisi Wilaya serengeti,pamoja na Kipigo Leo alifikishwa Mahakamani na kupata dhamana @WatchTanzania@MariaSTsehai@HecheJohn@TumeUchaguziTZ
@HecheJohn Tusiwaweke Tanzanian people kwenye psychological symptoms Lets us work, fighting,kuepusha mortarity rate, disabilities, kwa watu wetu daima niliapa kukutetea maisha ya mgonjwa hata akiwa mahututi katika fani yangu, eweee mwenyezi mungu nijarie nguvu kuwahudumia wanadamu wenzangu
@HecheJohn Gonjwa hili ni hatari na linaua kwa haraka chukue hatua zingatia haya social distance mikusanyiko, nawa mikono, voo barako, OSHA mikono hapo kwa sec 20 , vaa barakoa kujiepusha na maambukizii!!!!