Hadi kufikia Mei 2020 watu walidhani uchaguzi huu utakuwa rahisi sana kwa CCM.
Watia nia wakajazana CCM wakiamini kazi itakuwa bwerere!
Mambo yamebadilika ghafla.
Ni kweli kabisa. Ndiyo maana wenye hekima ya Mungu, tunaomba dua zetu tuvuke salama. Mambo mengi kwenye maisha yetu wanaadamu hayana uhakika kabisa. Hata pumzi ya saa moja mbele hatuna uhakika nayo. Tumtangulize Mungu mbele tu
Mzee @BenMembe,
Mimi nakuheshimu sana kama kiongozi maarufu lakini pia kama MTANZANIA mwenzangu. Ndoto yako ya URAIS ilizimwa na mwana MTANDAO mwenzako Mzee Lowassa.
Unaonaje ukiachana na hizi mambo za sema usikike? Utashangiliwa sana humu mitandaoni lakini haina maana.
Mzee nimechukua point tatu zangu hapa kwa βboss wangu mpenda dinnerβ anamfahamu @Semkae ameniambia hali hii imemtokea nikakumbuka hii thread nipo namsomeaππ
hii akaunti ni yangu,siwezi kufanya kitu kukufurahisha wewe.
Never.
Endelea kupiga ramli ntakusaidia pesa ufungue ofisi.
Sipo hapa kusubiri kusifiwa na wewe au kufanya jambo ili uone wewe.
Hata imani yangu inanisisitiza kutenda wema kwa siri kwani kuna malipo.Wewe nani unisifie?
Ingefaa zaidi wakili anayemtetea mtuhumiwa akibainika kuwa na hatia, mtuhimiwa na ambaye alikua anamtetea (wakili) wote watumikie adhabu iliyotolewa.
Hii itasaidia kujenga nidhamu na weledi katika tasnia ya sheria
#ChangeTanzania@Advocate_Jebra@fatma_karume@BobWangwe