Nimeona mjadala wa video hii. INAPOTOSHWA KWA KUKATA VIPANDE WATAKAVYO WAPOTOSHAJI. Msingi wa mjadala huu ulikuwa utani wa hoja ya zamani ya โgoli la mkonoโ.. uliorushwa wakati naongea ndio maana kuna kicheko kabla. Haikuwa serious version. Mimi MUUMINI wa uchaguzi HURU NA HAKI. Vizuri tuendelee kushindana kwa hoja.