After months of building and rebuilding we are thrilled to announce the launching of a long waited "White Label Reseller Bulk SMS System" Digital marketers will make extra earnings while helping businesses to grow offline. APIs for software developers are available.
#September
Tumeirudisha hewani Netflix ya Tanzania (Kipaji App) iliacha kufanya kazi ghafla miezi kadhaa iliyo pita juhudi mbali mbali za kuifufua hazikufanikiwa mpaka CEO wa App alipo tupatia hiyo kazi. Tumetumia siku 5 tu kuifufua.
Kipaji App inafanya IPO ya Shiling Bilion 1.5 mwezi ujao.
Tunayo furaha kuingia mkataba wa kutengeneza video, posta, website na kusimamia mitandao ya kijamii ya taasisi za Kingdom Leadership Institute, Business Development Center na Chuo kikuu cha Regent University cha Marekani.
Taasisi hizi zipo nchini kutoa elimu ya ujasiriamali.
Usipunguze ukubwa wa malengo au ndoto yako kwasababu ya kuiona ni kubwa na unashindwa kuitimiza, badala yake ongeza juhudi na bidii utaitimza.
#webrand#bagcilar#Tanzania#ndoto#malengo
Tatizo la mfumo wa Database yetu ya Push SMS limetatuliwa.Kulikuwa na tatizo kwenye servers zetu. Tunaomba radhi kwa usumbufu walio upata wateja wetu wote ambao website zao zimeunganishwa na mfumo wetu kupitia API.
Tunatoa free credit za SMS 100 kwa walio athirika na tatizo.
Hacker anaejifunza kuhack anapo jaribu ku hack hacker mzoefu.
Tumefanikiwa kuzima jaribio la ku-hack (kudukua) akaunti yetu ya Instagram.
Tuna akaunti moja rasmi ya Instagram amabayo ni webrand_tz.
Nyingine hatuzitambui.
This time our team of developers are implementing huge CSS works on tellAdvert to uplift it's face and improve UI. Changes will be uploaded on site tonight. Mark the current look of the platform, it'll be different after the updates.
Tunafurahi kufikia makubaliano na kuianza kazi ya website ya #OneHealthSociety (OHS). Website hii ni maaluma sana kwetu kwasabbu ya mchango wa OHS kwenye jamii yetu. Responsiveness, customized designs na website security (encryption level) ndio vipaumbele vyetu kwenye hii kazi.
Tunatengeneza mtandao wa kijamii ulio boreshwa wenye duka la mtandaoni litakalo wasaidia wafanya biashara kuuza bidhaa zao ndani na nje ya internet haraka zaidi mara 2 ukilinganisha na maduka mengine ya mtandaoni. Duka la mtandaoni litawasaidia wateja kununua bidhaa kwa NUSU BEI.
We're building the advanced social media platform with the ecommerce solutions which will help vendors to sell their products to online and Offline customers 2x faster than in normal ecommerce. The ecommerce will let clients purchase products at half price (NUSU BEI).
#March
Kuanza na kidogo leo huku ukikiboresha kila siku ni bora zaidi kuliko kuanza na kilicho kamilika kikiwa kimechelewa.
.
.
.
.
Starting with a little today with daily improvements is better than a delayed perfect one.