Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kutokubaliana kati ya Serikali na Watetezi wa Haki za Binadamu katika baadhi ya masuala si ugomvi wala dhambi, bali ni sehemu ya kawaida ya jamii ya kidemokrasia.
Akizungumza leo Jijini Dar es salaam wakati wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, Nchimbi amesema uwepo wa mitazamo tofauti unasaidia kujenga mijadala yenye tija na haupaswi kutafsiriwa kama uadui.
“Nipo hapa kwa niaba ya Serikali, lakini si kwa sababu Serikali lazima ikubaliane kila kitu na Watetezi wa Haki za Binadamu, si kwa sababu Watanzania wakubaliane kila kitu,” amesema.
Ameongeza kuwa Jamii ambayo kila Mtu anakubaliana katika kila jambo bila kuwa na mawazo tofauti hupoteza nafasi ya kujadiliana na kujenga hoja.
“Ikifika mahali mnakubaliana pamoja, mnakwenda pamoja, nyinyi si binadamu, mnakuwa roboti,” amesema Nchimbi.
#MillardAyoUPDATES
Mmiliki wa timu ya Azam FC Jamal
Bakhresa amefanya mahojiano na Kocha Mchezaji @mshambuliaji na kusema Azam FC haitendewi haki kwenye Ligi Kuu, huku akienda mbali zaidi kuwa licha ya uwezekaji mkubwa wao lakini imekuwa kazi bure kwa kutotendewa haki Uwanjani.
Jamal Bakhressa amesema kama TFFB na Bodi ya Ligi hawawataki ni bora wawaambie ili watafute Ligi nyingine ya kushiriki.
#KitengeSports
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 227
Anasimama Wakili wa Serikali Mrema
Anasema naomba kuongeza kidogo kwenye mawasilisho yaliyofanywa na Wakili mkuu wa Serikali Katuga, naomba kuongeza yafuatayo.
Waheshimiwa Majaji hii obligation inayowasilishwa mbele ya mahakama ya rufani lazima iwe na uwezo wa kuondoa shauri hilo lililoko mbele ya Mahakama hii, nikirejea shauri alilolilejea, shauri la DPP dhidi ya Mohammed Ussi naomba kuialika Mahakama hii kwenye kifungu cha 5 kifungu kidogo cha 2.
Mleta maombi amefanya reference kwa kifungu ambacho kimepitwa na wakati it's not applicable.
Kifungu hiki kukihusianisha na kesi ya Mohammed Ussi na kukileta kwenye Sheria ya sasa it's not applicable.
Kifungu cha 8 kinazungumzia mashauri ya madai, swali la kujiuliza ni je shauri hili ni la madai.
Jaji anawasha kipaza anauliza. Katuga ulisema Mrema anaongezea sasa mbona anarudia yaleyale.
Watu wanacheka😂😂😂😂😂
Jaji anamwambia Mrema aendelee ila asirudie mambo ambayo tayari Katuga ameongea.
Mrema anasimama anasema waheshimiwa Majaji ni hayo tu.
Watu wanacheka maana ni kama alichosema Jaji kimemto kabisa Mrema kwenye mood.😂😂😂😂
Anasimama Mhe. Lissu
Waheshimiwa Majaji naomba mniruhusu nijibu hoja za waleta moambi.
Wanacholalamikia siyo order wanalalakikia findings.
Waheshimiwa Majaji wanacholalamikia wamekileta wenyewe kwenye hati yao ya maombi hicho kiko kati ya ukurasa wa 428-431 wanalalamikia rulling, uamuzi.
Uamuzi wanaoulalamikia unajadili ushaidi wanaotaka kuuingiza, na Mahakama ikajadili ushaidi huo kwamba ni kinyume na Sheria hautaingizwa.
Kama wasingekuwa wanalalamikia hii ruling wasingeileta mbele ya Mahakama yako. Finding is not similar to a decision.
Waheshimiwa tuasume Mawakili hawa wako sahihi finding is similar to decision, tuangalie Mahakama inasema nini juu ya aina hii ya ushaidi, Mahakama ikasema ni kinyume na Sheria hauruhusiwi kuingia.
Mawakili waleta maombi wameleta kesi muhimu sana kesi ya Peter Michael Madeleka, kuna mahali katika kesi hiyo ambako Mawakili wa Serikali wamepakimbia kama ukoma, ukurasa wa 9 Mahakama ilisema hivi kuhusiana na hicho kifungu hayampi mamlaka ya kuimove Mahakama.
Mhe. Lissu anawambia Mawakili wa Serikali ahsanteni sana kwa kuleta kesi ya Madeleka.
Watu wanacheka 😂😂😂😂 maana akina Katuga wameleta kesi ambayo badala ya kuwasaidia kumkandamiza Mhe. Lissu yenyewe ndo imekuwa msaada kwa Mhe. Lissu.
Anaendelea Mhe. Lissu
Mamlaka ya Mahakama ya rufani kuitisha Suo moto ni mamlaka yake yenyewe haiwezi kuwa moved na waleta maombi.
Kama Mahakama haijaiona yenyewe haiwezi kuletewa maombi.
Wanasema nisiwafundishe lakini mkiangalia record waliandika barua, walileta maombi kisha wakaandika barua wanataka kuimove Mahakama.
Katuga amesema maombi yao wameyaleta under 6.3, Waheshimiwa Majaji nawaomba muangalie maombi hayo kama kuna sehemu wametaja kifungu hicho. In their notice of motion hakuna sehemu wametaja ni 6 ipi kati ya vifungu 6 vya Sheria hiyo hawawezi kuja hapa kuzungumza kitu tofauti na maombi yanavyozungumza.
Nirudi kwenye hoja ya Job Mrema, mmealikwa Majaji kukubaliana na hoja kwamba Sheria imeshabadilika ni vifungu tofauti, Waheshimiwa Majaji mimi nina revised Act of 2023 inasema section 5 haina marekebisho ya kabla ya 2023 kwa hiyo hii hoja ya kwamba kuna Sheria imebadilika ni vitu tofauti ni hoja ambayo nachelea kusema haina mashiko.
Waheshimiwa Majaji wakili ametaja rule 48.1,
Waheshimiwa Majaji inazungumzia PO must have a capacity to dispose of application na kwa maana hiyo anasema pingamizi langu halina uwezo wa kumaliza madai,
Je kwenye hoja ya kwangu hii kwamba maombi haya hauruhusiwi kwasababu hayana uwezo wa kuyafuta maombi kama inasema imeletwa chini ya kifungu cha 8.2.d? hakuna hoja hapo.
Part 228 itaendelea kwenye post inayofuata
Naomba Repost yako.
Rafiki zangu wa Nguvu samahani sana, najuwa mumekuwa na mchango mkubwa Sana kwangu nami nawaomba msikatie tamaa kwasababu hata Mimi sipendi itokee, lakini ni sehemu ya maisha. Ndugu zangu Wilichea yangu ambayo ndo mguu wangu wa kutembelea umeniharikia Kama unavyo onekana hapo.2👇
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Haya magari na hawa watu wanaokuja kwenye mikutano yetu kwa njia za kufuatilia kwa njia zisizo za wazi..
Wanapaswa kujua Tunajua na tunawaona.
Sisi tunafanya siasa na tunafanya kazi yetu ya kikatiba, hatuwezi kukubali kutishiwa wala kuogopeshwa.
Acheni uhuni huu.
@ayubu_madenge Pale nchi yake ikizingatia haki, mgawanyo sawa wa rasilimali, fursa za ajira, unafuu wa maisha, hakuna utekaji, uhuru wa vitendo, lazima uipende nchi yako.
VIDEO:
Mjadala mzito umeibuka bungeni kuhusu utekelezaji wa kivitendo wa ugatuzi wa madaraka ukizingatia hasa mgawanyo sahihi wa kazi kati ya viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wakuu wa kitaifa.
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo ametoa hoja kwamba watendaji wa ngazi za juu kama Waziri Mkuu wanapaswa kutoa kipaumbele kwa maslahi ya kimkakati ya kitaifa na uwekezaji mkubwa, badala ya kuingilia kati migogoro midogo ya mashinani ambayo maafisa wa chini tayari wanalipwa mshahara ili kuishughulikia.
Katika mjadala huo, baadhi ya wabunge wamepinga hoja yake wakitetea ziara hizi za ngazi ya chini zinazofanywa na Waziri Mkuu kuwa ni muhimu kwa ajili ya usimamizi wa serikali, ujenzi wa mahusiano, na kuweka viwango vya uwajibikaji kwa watumishi wa umma wa ngazi za chini.
SITTING PRESIDENTS WITH THE MOST HONORARY DOCTORATE DEGREES:
1. 🇹🇿 Samia Suluhu Hassan - 8
2. 🇺🇬 Yoweri Museveni - 7
3. 🇷🇺 Vladimir Putin - 7
4. 🇷🇼 Paul Kagame - 6
5. 🇨🇳 Xi Jinping - 3
6. 🇰🇵 Kim Jong Un - 1
Source: Public Open Source June, 2026
Jioni ya siku aliyoandika tweet, bahati nzuri, nilikuwa hewani.
Nilipoona tweet yake nika assume:
1) He's in danger, au
2) Amekuwa compromised.
What did I do? I commented outright, discrediting the content.
Alafu nikampigia Madenge.