Bwana Yesu asifiwe sana.... karibu ndani ya #HimizoFriday upate kubarikiwa na kuhimizwaa.Pokea uncompromised, undiluted gospel!
#HapaNdipo#NuruNaCateKulo
Mercy: "Pigia huyo mwanamke ako Meru uendelee naye. Nilikuwa ninatoka kwenda kazi, huyo msichana anaingia, nikirudi, anatoka. Hiyo siwezi. Yeye aendelee na maisha yake maanake ana mchezo. Nitang'ang'ana na ujauzito..." #Patanisho#GidiNaGhostAsubuhi#OngeaUsikike