@lifeofmshaba Mrombo bure kabisa juu amesoma, ni waziri ila yuko very backward kama mtu wa mndenyi tu, kusoma yake haijamsaidia, ni mtiiri, mkashadeni kabisa, kwani utandawazi haukuwa before now
@Royal_Tv_Tz Its bollocks mtu afanyiwe mashambulizi karibu auwawe na nyie mko na kimbelembele mnataka atolewe uongozi juu yu ahusisishwa na siasa? Waumini mlio kubali kutumikia mamlaka ovu
@Jambotv_ Umeambiwa nq nani @samiasuluhu yaani uko na taasisi dhaifu ya TISS na haina uwezo wa kugundua mambo. Kama wangefanya kazi vizuri mauuaji ya raia yasingetokea.