X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!!
Huyu ni ndungu yetu kabisa!!
Be safe chafu yangu @fbuyobe damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲
SIKU IMEKUWA NA MATAMKO YA KIBABE KUTOKA KWA MABEBERU WETU SISI MBUZI JIKE MPAKA RAHA.
TUPATE COMMENTS ZA KUTOSHA WANANGU WA #D9 ISHARA YA KUWEPO KWENYE UKOMBOZI.
REPOST 200
#Disemba9Tunatoka#D9#SiriNiNamba#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
ivi unajuwa kuwa naweza kukupaulia nyimba yako kwa ubora wa hali ya juu kikubwa zaid ni kwa bei nafuu na rafiki kwa kila mtu🤝😎!? so guyz let's do this unachotakiwa kufanya nikuchukua simu yako na kuwasiliana na mim kwa namba ya whatsap0710624379 au normal 0779609657 ahsanteni✌️
Wakati tunapigania NCHI kuwa na misingi ya HAKI hawa vijana wa MAKACHU wakaona kama HAIWAHUSU wakasisitiza wao "OKTOBA Watatiki".
Huu ni msimu wa Likizo Duniani, watalii wanafurika sana sehemu za vivutio kupumzika. Na moja ya sehemu yenye vivutio pendwa Nchini ni ZANZIBAR. VIJANA wa kizanzibari huu ndio msimu wao wa MAVUNO.
Leo Zanzibar Nyeupe hakuna Watalii, wale vijana waliotupuuza tuliodai haki wanalia mitandaoni HAKUNA WATALII kwasababu nchi haina amani. Chanzo ni Maandamano ya Oktoba 29.
Na sisi tunawasisitiza WATALII wasije Tanzania kabisa WATABAKWA NA MAFWELE na watekaji wenzie. Hatuwezi kupokea WAGENI wakati sisi wa ndani ya nchi HATUPO SALAMA.
Wasije kabisa tusafishe NCHI iwe na misingi ya HAKI kisha Amani ifuate. Na tunawaambia watu wa MAKACHU Disemba 9 tena tunaendelea tulipoishia. Kwasasa fanyeni ubunifu hata muingie Shamba kulima hali itakaa sawa Mpaka tupate HAKI.
Ngolo lenu ni matunda ya KUPUUZIA SAUTI YA WENGI NA KUSISITIZA OKTOBA MTATIKIIIIII✅️
TUTAKUWEPO🫵😎