@INFLUENCERjr Hawana mchezaji zaidi yake ndo maana anacheza ila niwe mkwel wale Viungo wa Ureno ni wazur wakiwa kwenye vilabu vyao sio team ya Taifa ,weee kila muda back pass kwel mbwa sna
@George_Ambangil Bro @George_Ambangil kma kuna sehemu Portuga ina nafasi hta kidogo ya kuchukua Wedi cup bas nilikua nimelewa nisamehewe mmi ...Team haiwez cheza kinyonge vile kma ipo jogging alf wakashinda kombe...
Yaan mbuzi yupo uwanjani alf 90min anapewa pasi 2 tu ndo zenye akili mamiyakeee
@FabrizioRomano Bro @George_Ambangil huyu Alonso nilikua namuelwa ila ssa hv naanza kuvuta pumzi ya ndn kbsa na kuona jmaa nae hua ana vishida vyake na wachezaji ,maana hta kule Bayern 04 alianza muweka bench Bonifas bila hta sabbu za msingi kujifnya mzee wa tactical ila kiufup nae ana vibfu