Media & Communications Professional @mulika255 | Journalism | Video Production @wibastarpic | Social Media | Storytelling for Social Change #Picha4Life
"Ili kikundi kiweze kusajiliwa, kunahitajika kuwa na malengo yanayoeleweka, viongozi waaminifu, katiba ya kikundi pamoja na nyaraka muhimu ikiwemo Namba za NIDA kwa wanakikundi.โ โ- Florentina Welya Mratibu wa Mikopo Wilaya ya Momba
#YouthEmpowernmentTz | #mulika255
โWengi wanaamini lazima uwe na fedha nyingi ndipo uanze biashara, hata mtaji mdogo unaweza kuanza ikiwa una nidhamu na uvumilivu.
Muhimu ni kuwa na dira ya unachotaka kufikia na kutokukata tamaa.โ โ Ray Elimuu Afisa Biashara Wilaya ya Momba
#YouthEmpowernmentTz | #mulika255
Kupitia mradi huu, mtajengewa uelewa wa kutambua fursa zilizopo katika kata zenu zilizoko katika wilaya ya Momba na namna ya kuzitumia ili kujijengea kipato na kuleta maendeleo katika jamii zenu.โ โ Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi
#YouthEmpowernmentTz | #mulika255
@mulika255 Thank you so much Mulika Tanzania family!
Your kind words and support mean the world to me. Grateful to keep amplifying youth voices and driving change together.
Asante sana! ๐๐ฝ
#happybirthday | #mulika255
Happy Birthday to Wilbgeorge Bahati, our Communication & Advocacy Lead
Your creativity and dedication continue to inspire change and amplify youth voices. Wishing you happiness, good health, and continued success.
From all of us at Mulika Tanzania ๐ธ
#Happybirthday | #mulika255
Wiki hii YEE Portal inatua Songwe! ๐
Wanufaika kutoka Wilaya za Momba na Songwe watapata mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa YEE Portal na kujifunza faida zake katika kurahisisha upatikanaji wa Mikopo ya 10%. ๐ปโจ
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Happy Labour Day! Today, we celebrate the dedication, resilience, and hard work of all workers who continue to drive growth and development in our communities. We remain committed to empowering youth and creating opportunities that support decent work.
#labourday | #mulika255
Happy Union Day from Mulika Tanzania ๐น๐ฟ
As we celebrate the unity of our nation, we reaffirm our commitment to empowering young people and communities to build a more inclusive, resilient, and prosperous Tanzania. Together, we move forward stronger as one.
#unionday | #mulika255
Tulibaini changamoto za ukusanyaji na ufuatiliaji wa taarifa kwa njia za kawaida. Mfumo huu unarahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi kwa wakati na uratibu wa shughuli, huku ukifuatilia maendeleo ya Vikundi โ Mkuu idara ya Mawasiliano
#YouthEmpowermentTz#mulika255
Mfumo huu wa YEE PORTAL unarahisisha utaratibu wa usajili wa vikundi na wanufaika kwa njia ya kidijitali. Taarifa zinahifadhiwa sehemu moja, hivyo inakuwa rahisi kuzifikia na kuzisimamia kwa ufanisi zaidi.โ โ Mkuu wa Idara ya Mawasiliano
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
Mpango wa Uwezeshaji Kiuchumi kwa Vijana unaendelea nchini, ukiwemo Dodoma, kupitia usajili wa Vikundi vya Mikopo ya 10%. Kupitia YEE PORTAL, changamoto za usimamizi, ufuatiliaji na uhifadhi wa kumbukumbu zinatatuliwa. โ Winfrida Mponzi
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
VIDEO RECAP ๐ฅ | Uwasilishaji na mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa YEE Portal kwa wanufaika wa mradi Kiwalani, DSM. Washiriki walijifunza namna mfumo unavyorahisisha usajili wa vikundi na usimamizi wake. Mfumo bado uko hatua ya validation.
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
Washiriki ambao ni wasichana walioapata watoto wakiwa na umri mdogo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada Mafunzo ya YEE Portal ambapo waliweza jifunza jinsi mfumo unavyofanya kazi.
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
Ambapo walipatiwa uelewa kuhusu maendeleo ya Mpango wa Uwezeshaji Kiuchumi kwa Vijana (YEE), namna mfumo unavyofanya kazi, na jinsi unavyolenga kurahisisha upatikanaji na usimamizi wa fursa mbalimbali za kiuchumi kwa vijana.
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mafunzo ya mfumo wa kidijitali wa YEE Portal, ambao ni wasichana waliopata watoto katika umri mdogo kutoka kata ya Kiwalani, Dar es Salaam.
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
โYEE Portal imeanzishwa ili kuondoa changamoto za usimamizi wa taarifa kwa njia za kawaida, na kuweka mfumo unaowezesha upatikanaji wa taarifa sahihi kwa wakati kwa ajili ya maamuzi bora.โ โ Wilbgeorge Bahati, Mkuu wa idara ya Mawasiliano
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
โYEE Portal ni suluhisho la kidijitali linalowezesha usajili na usimamizi wa taarifa za vijana na vikundi kwa ufanisi zaidi, huku ukirahisisha uratibu wa shughuli za programu kwa njia iliyo rahisi na yenye uwazi.โ - Mkuu idara ya Mawasiliano
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
โMradi huu wa YEE umefanikiwa kuwafikia vijana 675, kuunda vikundi 50 na kusajili rasmi vikundi 20, hatua inayoonesha ushiriki mkubwa wa vijana na mafanikio ya jitihada za kuwawezesha kiuchumi.โ โ Winfrida Mponzi Mkuu wa Mradi
#YouthEmpowermentTz | #mulika255
We honor Abeid Amani Karume for his contribution to advancing equality, justice, and social development. His leadership continues to inspire unity and responsibility across generations.
#karumeday | #mulika255