@Justincompost@manywele_ze Kwahiyo umemalizia na kingereza ili tuamini pumba zako ulizoandika hapa sikiliza Bwana mdogo huo ni mtazami hasi ulio ubeba kivhwani mwako CCM ambao makamu wa Rais anapotea nchini ghafla then uje hapa useme ni chama kinacho aminika 😳