Pathways to Progress; that's the theme for CSO WEEK 2025. If it happens you are in Arusha and attending CSO WEEK at Mount Meru Hotel, please let's connect.
@CarolNdosi@MalemboLE@DorothNengai It is indeed and you'll have a great experience there. A bar with tons of options to make your presence exceptional.
Coffee lovers @CarolNdosi@MalemboLE@DorothNengai would a cup of cocoa spice up your working mood as well?
📍 LIVY Cocoa Bar, Mbeya
I had a great time in their offices doing Business Development Services Assessment in the Cocoa Value Chain. Chocolates kama zoote zipo pale.
Ushirikiano katika hatua za kuleta maendeleo. Tulikuwa na wasaa mzuri kutembelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa @ksmorganic ndugu @EdwardJ53594600 na kujionea zoezi la upandwaji wa viazi mviringo. Jipatie mbolea kutoka @ksmorganic kwa mazao na mavuno mazuri.
📍Meru, Arusha.
Tuna kila kitu kinachohitajika ili kujilisha - na ulimwengu.
Lakini lazima tuache kusubiri miujiza kutoka nje.
Muujiza uko ndani yetu.
@williammdemu@agrimwendo@ksmorganic#Limanaksm
@MalemboLE Sahihi sana. Umeweka vyema hususani kwa mlegwa wa huduma kutoka katika aina hizo mbili za Benki.
Sambamba na hii, kuna ujumbe upo DM kwako, ukipata wasaa naomba uupitie kaka.
Vijana wanapofanya uwekezaji katika sekta ya kilimo, wanachangia kufungua fursa za ajira kwa wenzao.
Swali kwako kijana mwenzangu:
Wewe umeanzisha ubunifu gani katika sekta ya kilimo au maeneo mengine ya maendeleo?
#ksm
Heshima ya Kumkaribisha Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania katika Visiwa vya Amani!
Tulifurahi kumkaribisha H.E. Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania alipotembelea Visiwa vya Aman kujionea athari za mradi wa Maji Kwa Chakula.
Tunathamini sana uungwaji mkono wa Ubalozi wa Ufaransa