@George_Ambangil Hii ni changamoto kubwa inayoukabili ulimwengu wa mpira
Matajiri wameweka pesa wakitaka matokeo,kumbe mpira ni maisha.
Sio kila wakati utakuwa unafanikiwa,kuna muda wa wengine
Ni kipindi tu,Man Utd itakaa sawa
Mashabiki wanatakiwa kuisapoti timu yao
Waumini wa dini ya Kiislamu kutoka Jumuiya ya Tul Akhlaaqul Islaam (JAI) Mkoa wa Dodoma leo Alhamis, wamechangia damu katika hospitali ya mkoa huo ikiwa ni kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyefariki 14 Oktoba 1999, London nchini Uingereza.