Internet π ya Airtel kuna Muda nayo inahitaji WiFi kufanya kazi π€¦π½ββοΈ.
Ttcl hadi kuwapata unatakiwa uwe na watu kama nane serikalini watatu wawe wizara ya mawasiliano kabisa
Tigo cjui Yas wao kuwapata utumie nusu ya mshahara wako ππππ
Enewei Acha nitafute hela π€¦π½ββοΈπ€¦π½ββοΈπ€¦π½ββοΈ
Dear NMB , naomba mtofautishe text za hela na za jumbe nyingine. Mtanipa presha Jamani π€¦π½ββοΈ
Hizi nyingine bora muandike small letters au muandike NMB TAARIFA .
Asante
Tupo Kwenye kutafuta Suluhisho Kwenye soko la Kariakoo na bado mtu anawaza mambo ya Yanga kweli????
Buriani baba wa Taifa, umeacha Taifa kwa watu ambao kuna muda hawapi vipaombele mambo ya uchumi wa Nchi π€¦π½ββοΈ.
Ogopa Sana mdada anayeamini kuwa yeye ni mzuri, I donβt know why Ila most of them wanakuaga hapo katikati sana ππ.
2023 I choose violence too π
Dj Tafadhali tuandalie watu wa From January to December, Nyakati za huzuni Furaha.
Kwasababu ya muda waungane na watu wa Naiona kesho kesho iliyopangwa na Baba.
Am tired of being unemployed,kesho kuweni makini na maofosi yenu Naingia ofisi yoyote Wakati wowote. Nchi ni yetu site Kwanini muijenge wenyewe π.
Mlinzi akinizuia nampiga navaa gwanda zake.