the only way to create conducive environment for development is commuty participation in policy making. @Simbasportsclub fan/ Ulaya #ChelseaFC fan UDOM ALUMNUS
Mwaka mmoja niliamua kuwa serious na maisha yangu.
Nilianza kupanga muda, nikapunguza marafiki, nikaacha mambo ya starehe.
Baada ya miezi michache nikaanza kuambiwa , Umebadilika sana, Unajifanya upo busy, Usiwe serious sana.
Nikajua sasa niko kwenye njia sahihi.