Nimepokea message helb yangu itaingia soon,Ni 30k ,I need a therapist and a financial literacy expert to couch me on how to spend and invest.i don't want to visit locals around Kisii again.
Nilienda interview vile my turn ilifika nikaaingia kwa panel ya watu 8.i was confused sikujua niwasalimie au ninyamaze nijikalishe kwa kiti. Mimi huyoo nikaamua kuketi..hiyo kiti ilikua ile ya kufinya hapo kwa mkono alafu inapanda juu au inateremka. Mimi huyoo nikafinya coz ilikua imeteremka chini sana na nilikua mfupi. Aki kiti ilipanda hadi juu interviewers wakaanza kuniangalilia chini. Yani nilipanda juu hadi nikapita meza.. Nikafınya unirudishe chini kiti nayo ikanipeleka hadi nikapotelea chini ya meza.. All this time naangaliwa tu... I had to stand up and leave without saying a word.
Nairobi sirudi acha tu nikae Othaya.