watu wanaweza kusita kusema hivi hadharani, but this is purely a religious issue, na sababu pekee huyu mpumbavu anaweza kuwa na uthubutu wa kusema hivi hadharani, bila consequences yoyote, ni kwa 7bu yeye ni muislamu na rais ni muislamu mwenzake. huo ndiyo ukweli:
Kadiri miaka inavyokwenda, nimejifunza jambo moja muhimu sana: maisha ya bandia ni maisha ya gharama kubwa sana. Gharama yake si fedha tu, bali pia ni gharama ya kiroho, kihisia, kisiasa na hata kimahusiano.
Ukweli ni rahisi kuishi nao. Uongo, kwa upande mwingine, unahitaji matengenezo ya kila siku.
Mwanasiasa anapoanza kujenga umaarufu wa bandia, unyenyekevu wa kuigiza, utajiri wa kuonyesha, au picha ya mtu mkamilifu asiye na dosari, anajikuta akitumia nguvu nyingi kuilinda taswira hiyo. Uongo mmoja huzaa mwingine, na maigizo ya leo huzaa maigizo ya kesho. Mwishowe, mtu haishi tena maisha ya kawaida; anaishi maisha ya kisiasa kila dakika. Na hilo linachosha sana.
Tatizo kubwa la siasa za dunia yetu ni kwamba mara nyingi tunathamini zaidi muonekano kuliko uhalisia. Watu wanajikuta wakitaka kuonekana wenye nguvu kuliko walivyo, matajiri kuliko walivyo, na wenye ushawishi kuliko walivyo. Ndiyo maana wakati mwingine tunaona misafara mikubwa, sifa za kulipwa, propaganda na maisha ya kifahari kupita kiasi. Mara nyingi si kwa sababu watu wanafurahia hayo, bali kwa sababu wanaogopa kuonekana wa kawaida.
Lakini taswira inapokuwa kubwa, gharama ya kuilinda nayo huwa kubwa zaidi.
Wakati mwingine watu wanaonekana kucheka mbele ya kamera, lakini ndani wamejaa hofu, wasiwasi na upweke mkubwa. Hawajui tena nani anawapenda kwa dhati, nani anawaogopa, nani anawasifia kwa maslahi, na nani anasubiri siku ya kuanguka kwao.
Nafikiri moja ya gharama kubwa zaidi za maisha ya bandia ni kupoteza amani ya ndani. Mwanadamu hakuumbwa kuigiza maisha milele. Nafsi huchoka kubeba mtu ambaye si yeye halisi.
Ndiyo maana naamini kwamba uhalisia ni nafuu kuliko maigizo. Kiongozi wa kweli hahitaji kuigiza kila siku. Anaweza kukosea kama binadamu mwingine yeyote, lakini hahitaji kuishi kwa ajili ya kuwalazimisha watu waamini picha ambayo si ya kweli.
Na kuna jambo ambalo historia imenifundisha. Wakati mwingine mtu aliyekaa ndani ya msafara mkubwa, akiwa na walinzi na heshima zote za dunia, anaweza kukosa amani kuliko mtu anayepita pembeni kwa miguu.
Kwa sababu amani haitokani na ukubwa wa msafara, wala haitokani na ukubwa wa cheo. Amani hutokana na dhamiri safi, ukweli wa ndani, na kuishi maisha yanayofanana na wewe halisi.
Mwisho wa yote, watu hawatakumbuka sana ukubwa wa magari yetu, wala ukubwa wa majumba yetu. Watakumbuka kama tuliishi kwa ukweli, kama tulikuwa waaminifu kwa dhamiri zetu, na kama tulitumia nafasi tulizopewa kuwatumikia watu kwa uadilifu na hofu ya Mungu.
‼️TUMEWANASA MAPOLISI WA NDULI IDD AMIN MAMA‼️
Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama baada ya kuona Maandalizi ya Maandamano ya 77 yameshika kasi, sasa wamesafirisha Polisi kutoka Mikoa mbalimbali na kuwaleta Dar ambapo wameweka kambi njee ya kituo cha Polisi Gogoni Kibamba.
Polisi hao wanalazwa kwenye haya matenti kama mnavowaona kwenye hii Video, hapo wanasubiria 77 na kwa mujibu wa maelezo yao wanasema kwamba Julai 7, mara hii hawatapiga watu risasi maana wamepewa maelekezo ya kukamata waandamanaji.
Kwa mantiki hii tukijitokeza kwa wingi, tumeshinda maana hawataweza kutukamata watu wote.
Halafu kwakuwa Polisi wengi wametolewa Mikoani na kuletwa Dar, huko Mikoani mkijipanga vizuri itakuwa zaidi ya Oktoba 29.
They tried to bury you, they didn’t know you were a seed!
Stay strong Tundu Lissu
Hii vita imekaribia mwisho na umeshaweka historia ya kipekee! Kupitia mateso yako, tumepata njia na haki itapatikana! Mungu yu pamoja nasi
#FreeTunduLissu
Advanced out of committee ✅
‼️Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act‼️
A crucial step and major signal to the illegitimate government of Samia Suluhu
Niliwaambia silali 😅
Walimkimbiza Kombo Washington DC eti afanye mikutano kaishia hata kunyimwa picha huko DC na kaangukia pua, puuu! 🤣
Yuda ye ame chill huko somewhere kimya keshaona ngoma ngumu hii 😁
Mungu yuko kazini 🙏🏽
#TutaelewanaTu ndo namna hii!
Tundu Lissu siku chache kabla ya kukamatwa na kuwekwa kizuizini alisema👇
"Ndugu zangu Watanzania, Wajibu wetu mkubwa tulionao ni KUJIKOMBOA, Hakuna mtu tunayeweza kumuachia hili, Hakuna Mjomba wala Shangazi atakayekuja kutusafishia jumba hili ambalo limechafuka kiasi hiki kutokana na utawala usiondea haki".
Wajibu tulionao ni KUJIKOMBOA.📌
‼️🚨#EnforcedDisappearance#Tanzania ‼️
Ramadhani Ally was abducted in Katavi region two days ago at night and family is unable to locate him at police stations! More repression and violence from Samia Suluhu and her murderous cabal
#SamiaMustGo
Nyie @tanpol mkianza kupigwa ban acheni kulialia kama Mafwele! Huu upumbavu wa kuteka watu acheni na mwachueni Ramadhani Ally!
Utekaji sasa basi!