@SuluhuSamia Muheshimiwa rahisi tunakuomba uendelee kutunza hii amani tuliyo kuanayo kwa gharama yoyoteπ . Mungu akubariki na kukusimamia kwenye majukumu yako mama.
@julip202 Kwanza badilisha maindset yako acha kufikiria
Nimerogwa
Nnamikosi
Na mambo mengine kama hayo lakini
Itβs good uko religious so usiache kuomba lakini usilalamike kwenye maombi yako we omba hustle mungu atafungua milango na ukiweza hama unapoishi tafuta sehem nyingine
Mangione anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kiwango cha kwanza, ufuatiliaji haramu, na matumizi ya kifaa cha kuzuia sauti katika uhalifu. Ikiwa atapatikana na hatia, anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha gerezani.
Baada ya tukio hilo, alikamatwa tarehe 9 Desemba 2024 huko Altoona, Pennsylvania, baada ya kutambuliwa na mfanyakazi wa McDonaldβs. Wakati wa kukamatwa, alikuwa na silaha iliyotengenezwa kwa teknolojia ya uchapishaji wa 3D na hati bandia.