@samuel_bro18409@VungaEl74 Uislamu (Dini Kuu)
โShia: Takriban 90% mpaka 95% ya Wairan ni Waislamu wa dhehebu la Shia (Twelver Shia). Iran ndiyo nchi yenye idad kubwa zaidi ya Washia duniani.
โSunni: Inakadiriwa kuwa kati ya 5% mpaka 10%. Waislam wa Sunni wanapatikan zaidi mipakan sasa wewe kijambo bisha
@VungaEl74 Huo ndio ukweri ni kwamba washaanza kumshtumu anatumia silaha zisizo ruhusiwa katika vita hili wao wakija kutumia silaha nzito kusitokee lakusema,,,iran hana power yakuipiga tu Israel ๐ฎ๐ฑ mbali na marekani
@Dume_Jeuri__ Huyo jamaa ni moto yani kwa striker bora kwa sasa ni haaland hili jini jana sijaelewa anacheza namba ngapi kila sehemu yupo daah kweri huyu mpigania timu aisee