kuna Mwana X mwenzetu kanishauli tutengeneze group hili kila mtu ajoin halafu tuhakikishe group hilo tufikishe member 1000 kutoka humu humu X halafu kila mwanamember tuhakikishe kamfollow mwenzake nawasilikiza kama mpo tayari wakuu
shusha handle chini na weka alama kuaccept
@MartinL01584477 Mungu akabariki pale ulipopunguza ukaongezewe Zaidi umefanya Kitu Kikubwa sana kwenye maisha ya Dogo uyo na ana Deni kubwa kwenye maisha yake kwanza aprove kwenye elimu akifanikiwa huko bhas atakuwa amefanikiwa kwenye mambo mengi Sana kwenye maisha Yake Mungu Wetu halali