Dua | Darsa | Iftaar Msimu wa 3 ilifana kutokana na mashirikiano makubwa na Wajasiriamali wadogo. Tunawashkuru wote waliotuchangia kwa kununua tickets, waliojitolea kihali na mali. Hii ilikua ni by the people for the people.
Mgeni Rasmi Mh Sabiha Filfil Mwenyekiti wa Kamati ya Ustawi ya Baraza la Wawakilishi pamoja na Mh Anna Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi maalum wakimkabidhi Bi Rashida wa Didi Wedding Decoration hati yake ya shukran kwa kudhamini shughuli yetu
Mkurugenzi wa Warrior Women Foundation Bi Sabra Machano akiongoza majadiliano kuhusu malezi, kujiamini, upatikanaji wa haki katika jitihada za kupiga vita janga la ukatili na Udhalilishaji
Mgeni Rasmi Mh Sabiha Filfil Thani Mwenyekiti wa Kamati ya Ustawi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akiwa anateta na Mh Salma Mussa mjumbe wa Kamati hiyo katika shughuli ya Dua Darsa Iftar, iliyofanyika 23 March 2024 katika Ukumbi wa Kariakoo Hall
Pale mwezi wa kumsherehekea wanawake unapokutana na mwezi wa Ramadhani, inabidi lunch iwe ftari, empowerment iwe darsa, karibuni wote.
N.B: Ladies only
Hello Ladies 🚺
@wwfoundationtz Tarehe 23rd March inakuletea Sherehe ya Wanawake mwezi wa Ramadhani.
Pale mwezi wa kumsherehekea wanawake unapokutana na mwezi wa Ramadhani,
Inabidi lunch iwe ftari, empowerment iwe darsa, karibuni wote.
N.B: Ladies only
Cc @wwfoundationtz@sabramachano
Our celebration for Women’s Month which coincides with Ramadhan draws ever closer.
Don’t forget to support us by getting tickets or anything in kind is also appreciated.
Pale mwezi wa kumsherehekea wanawake unapokutana na mwezi wa Ramadhani, inabidi lunch iwe ftari, empowerment iwe darsa, karibuni wote.
N.B: Ladies only
Day 3: Mkutano wa AfCTFA wanawake katika biashara. Nimepata fursa ya kuonana na Karibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na viwanda. Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade, Mh Janet Mbene, Mkufunzi wa Wajasiriamali na Women Creating Wealth @anabahatimlay na wengi wengine mambo ni pambe tu ❤️🔥
Najivunia mno wanawake walionitangulia kwa kusafisha njia ili sisi wengine tupite kwa urahisi. Kuna umuhimu wa watu wazima himilivu na wenye ukomavu wa maisha kuungana na vijana wenye uthubutu na ubunifu kwa mafanikio ya pamoja kwa mustakabali ya jamii na maisha ya baadae.
Nikishiriki mkutano wa AfCFTA Conference on Women in Trade kuhusu kuongeza kasi ya utekelezaji wa eneo huru la biashara la Barani Afrika kama Mkurugenzi wa @wwfoundationtz na Mtu Mashuhuri ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Nafurahi kushiriki na kuona mchakamchaka wa kuzidi kulifungua Soko huru la Afrika.