@ze_mandevu Ilikua ngum kubakia kua Waziri mkuu tena. So kapna ni ngum sana kutoka kua Waziri mkuu kurud kua mbunge wa kawaida. So kwa akili nyingi kaona acha nikae pemben mwana haramu apite.
@babalao__ Kwa namna wanavozuia raia kuchagua mbunge tofaut na ulipojiandikishia nd iv ivi wangezuia na wabunge kugombea tofaut na unapoishi. Sa unakuta mtu hajawah ata kuishi morogoro anaenda kugombea uko sa unategemea atabadilisha nn kwny jimbo
@darwin_kobis@Adventure_36 Iv wameshindwa kulishusha mombasa then liende na road mpk kisumu then lichop kwny maji mpk mwanza?! Au njia ya mombasa kisumu ina madaraja yatakayozuia upitaji!?
@Carnivorous_07@pius_thoma95606 Wakafanyie assemble mtajuaje kama mama katengeneza kitu 😂😂😂maan ilo apo kuna bango la mama kule juu ko kila linakopita lazima waone mama kafanya 😂😂😂