Ukiwa na M5 bank ambazo umezipata kwa kutunza Mshahara wako badala ya kuziacha ziendelee kukaa bank unaweza kuiwekeza huku wewe ukiendelea na kazi zako za ujira kama kawaida
Unaanzisha salon ya kiume (kinyozi) mahali palipochangamka kidogo kulingana na location yako unanunua viti 2-3 vya ubora, mashine za kunyoa za kisasa, vioo, sofa, bidhaa za nywele na decoration nzuri. Gharama zote za kuanzisha zinaweza kuwa chini ya milioni 4M pamoja ya Kodi ya miezi 6 ya mwanzo
Unaajiri barber mmoja mwenye ustadi mzuri pamoja na mdada mmoja wa kuosha nywele na kufanyia wateja facial usoni! Biashara inaweza kuanza kukuletea cashflow ya 100K hadi 200K+ kila wiki NB. uwekezaji ulingane na mahali ulipo Kuna mahali unaweza tumia 1M kwa kila kitu
Pesa huwa ina tabia kama hujazoea kushika pesa nyingi siku ukipata hiyo pesa lazima upate wenge.
Ukipata milion 10 nawe ulizoea kushika milion 1 utatumia hiyo million 10 kwa pupa ikifika million 1 ndo akili inarud ndo unataka kuwekeza hiyo pesa.
Soma tena apo
Nina miaka 37.
Ukweli mchungu ni kwamba nilipoteza miaka yangu ya 20 kwenye kamari, wanawake na katika eneo la starehe nikifuatilia starehe zisizo na mwelekeo.
Huu ni ushauri bora sana ninaoweza kumpa mtu aliye na miaka ya 20 na 30… Tafadhali soma hii kabla hujachelewa.
🧵
Kijana wa kitanzania ukitaka kuwa dollar Millionaire (from $100M to $500M) kwa sasa.
Sajili kampuni yako Rwanda 🇷🇼 au Mauritius 🇲🇺.
Sio lazima uende huko au uwe na passports.
kampuni yako iwe ni ya Automation, Biotech, Food Security, Proptech, Data science.
Kisha Raise funds.
Mwaka 2016 sikukuu ya Eid mimi kaka yangu na mdogo wangu wote tuliingia kwa mzee tukakutana na kula sikukuu pamoja, mdogo wangu yuko Dsm mimi nilikuwa iringa mwezi ule, kaka yetu alikuwa dodoma, ile ilishangaza wanakijiji kwani wote tulienda na watoto wetu na wake zetu...
Kula Kwa Mama Ntilie Asubuhi Mchana Na Jioni Ni Gharama Kuliko Kuoa Ukawa Unakula Home With Your Family
Before Marriage Nimepiga Hesabu For 1 Year Nilikua Natumia 6,900,000,But After Marriage Kwa For 1 Year Mimi Na Familia Yangu Kwa Ujumla Tunatumia 4,354,000 Tu.
Vijana Oeni 🙌
Watu wanaotukana biashara mara nyingi hawajawahi kukaa hata siku moja sokoni.
Kama wangekaa, wangekaa kimya. Hakuna biashara yenye Pesa nyingi hapa nchini kama ya Dagaaa . 300k - 36M Kwa 1yr .
Makinika nami 🧵👇🏽
> Kama tayari una SAVING lakini hujui namna ya kufanya uwekezaji soma, "Rich Dad Poor Dad." - Robert Kiyosaki
> Kama bado huna saving na unataka kujifunza SAVING na UWEKEZAJI kwa pamoja soma, "Money: Master the Game". - Tonny Robins
> Kama unataka kuelewa tabia na saikolojia juu ya kutengeneza au ukiwa na pesa soma, "The Psychology of Money".- Morgan Housel
> Kama una fikra finyu au Mindset mbovu kuhusu pesa soma, "Think and Grow Rich".- Napoleon
> Kama una imani potofu au hujiamini kuwa unaweza kutengeneza pesa au kuwa na tajiri soma, "Born Rich".- Bob Proctor.
> Kama unataka kupata elimu ya pesa ambayo haifundishwi shuleni katika mkutadha wa Afrika soma, "The School of Money" - Emmanuel Olumide.
> Kama unataka kujifunza kuhusu utajiri, na wealth building soma, "The richest man in Babylon" - George Clason.
> Kama unataka kujifunza uwekezaji katika soko la hisa la Bongo, DSE soma, "Hisa, Akiba na Uwekezaji" - Elimilian Busara.
> Kama unataka kujifunza namna ya kutumia pesa zako kupata furaha na satisfaction soma, "Happy Money; The Science of Happier Spending", Elizabeth D & Michael N.
> Ongezea kitabu kingine ambacho kimekubadilisha kifikra au kimekusaidia kujifunza elimu ya pesa na kuzalisha pesa.
RT kisha follow @EdwinMjeru
EFM.
Wenzako wana fanya analysis za massoko ya hisa , wewe unachambua odds.
Wenzako wanatafuta connection za biashara , wewe upo Konexon.
Wenzako wanajifunza skills mpya,
Wewe upo busy kuscroll tiktok,x for fun .
Wenzako wanapambana na interviews, wewe unasema kazi zina watu.
Wenzako wanapost biashara na kutafta wateja , wewe unawabeza .
Luck plays an important role — but so does hard work.
#BBCAfricaEye investigates the wave of enforced disappearances surrounding Tanzania’s 2025 presidential election – with claims of attempted silencing of government critics, powerful testimony of severe maltreatment...and the high-ranking official whose name kept coming up.