@Lokieeees Manze hadi sahii naeza sema sijui mali safi and am a regular, unatumia nyaru leo kesho za ambassador, siku ingine unachomwa unaskia njaa ya gaza, ingine unawasha morning siku inaisha hivo 10am, zingine stick y sticky, dunia bangi bangile
@Quivercryptobag@blackSaint_vii 😂😂 Pallmall achana nayo ntakuomba iko na kikohozi na homa ya nyaru, safari is best, no so fake😂, standard juu ata sporty ni same na hio safari unless wale wako jiji wako na mzuri
@Ruthjelagat13 Nilipata job last year Oct nikaacha this year jan, i was humble enough kuwaandikia barua, manager aliniambia i broke the trust ya mwenye aliniconnect, kazi sishiki simu hadi jioni, excuse ya hio mateso ni ati kwani uko na option gani ingine, the mentality gap is overwhelming