Niliwai enda ushago alafu tukaambiwa tubebe izi vitu uphill mahali ng'ombe ziko nikakataa shosh akanishow nisiwai rudi uko tena ๐ I stayed true to her word sijawai rudi uko 7yrs +
Sasa hio Affordable house ukipewa na Rais mtu anahama anaenda kuishi hapo, for example mimi mtu wa Shitenya huko Bunyore nahama mahali nafanya farming naenda Kwa town kuishi kwa cube na hakuna shamba hata ya kupanda kitunguu saumu