DK BILAL AKIWASILI KATIKA DUA
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Mohammed Bilal akiwasili Viwanja vya Mnazi Mmoja Unguja kushiriki sala na dua ya kumuombea Marehemu Maalim Seif Shariff Hamad
ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara ya kushtukiza bandari ya Malindi
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi https://t.co/JdV6EL90WO Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo alipojumuka na Wakaazi wa Kijiji cha Bweleo Mkoa Mjini Magharibi Unguja katika mchezo wa Bao( Picha na Kitengo cha Mawasiliano cha Mgombea Urais)
MAZOEZI NI AFYA
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi akifanya mazoezi na Mkewe Bi Mariam, Katika Viunga vya Nyumbani kwao Unguja.( Picha na Kitengo cha Mawasiliano cha Mgombea Urais)
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi akinunua matunda katika Kijiji cha Maungani Mkoa Mjini Magharibi Unguja( Picha na Kitengo cha Mawasiliano cha Mgombea Urais)
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi akinunua Samaki kwa akina mama wa Kikundi cha Umoja ni Nguvu katika Kijiji cha Kisauni Mkunazi Samaki Mkoa Mjini Magharibi Unguja ( Picha na Kitengo cha Mawasiliano cha Mgombea Urais)
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo akimkabidhi Makamu wa Pili Rais Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi mchango wa Shilingi Milioni 10. ( kulia ni Mkurugenzi Idara Usalama wa Taifa Zanzibar, Said Shaib Mussa( Picha MAELEZO)