@HELBpage @OtandoB ^MM lenga tu tweet zangu na za magaldem unajibu mbio sanaπ€£π
Ntakua CEO wa HELB siku moja utaregret
Nway 3837 waambie watuekee pesa buana shule tulifungua 3rd
@drPCaesar@HELBpage@Goddie_Ke Nlipata wakikuyu walikua duty wametumia pesa yote kuwasha moto buanaπ
Na gold zangu ndo mungu alitumia kuwajengea nayo makao sasa niko broke π
@HELBpage@Iam_ray_ ^MM manzee si uangalie 3837 hatufΓ nyiwi fity... shule KEMU nlifungua 3rd na hamjatuma pesa adi leo na watu walifunyu this week mnawatumia pesa buana...
Ama uku pia ni deep state wanapata pesa mbele ya mahustler
@HELBpage@IkwelFranck Time gani na we opened school on 3rd bana it's been 2 weeks sasa... mnalipa watu walifungua 10th mnaacha 3rd kwani adi helb iko na wenyewe
@HELBpage @sa_chuldo We know you do alert people that we know.
What we want is money bana.
Tangu last year na shule zilireopen on 3rd.
What's wrong with you guys.
Send us money bana